-
Marko 12:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Hao walipowasili wakamwambia: “Mwalimu, twajua wewe ni mwenye ukweli na hujali yeyote, kwa maana hutazami kuonekana kwa nje kwa watu, bali wafundisha njia ya Mungu kupatana na kweli: Je, yaruhusika kisheria kumlipa Kaisari kodi ya kichwa au la?
-