14 Walipofika wakamwambia: “Mwalimu, tunajua wewe husema ukweli na hutafuti kibali cha yeyote, kwa maana huangalii sura ya nje ya mtu, bali unafundisha njia ya Mungu kupatana na kweli. Je, ni halali* au si halali kumlipa Kaisari kodi?*
14 Walipofika wakamwambia: “Mwalimu, tunajua wewe una ukweli nawe hujali mtu yeyote, kwa maana hutazami sura za watu, bali unafundisha njia ya Mungu kupatana na ile kweli:+ Je, ni halali kumlipa Kaisari kodi ya kichwa au hapana?