-
Luka 2:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Kulikuwa pia na wachungaji katika eneo hilo ambao waliishi nje wakichunga makundi yao usiku.
-
-
Luka 2:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Katika nchi hiyohiyo kulikuwako pia wachungaji wakiishi nje na wakishika malindo usiku juu ya makundi yao.
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Malaika wanawatokea wachungaji waliokuwa nje (gnj 1 39:54–41:40)
-