-
Yohana 7:35Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
35 Kwa hiyo, Wayahudi wakaanza kuulizana: “Mtu huyu anakusudia kwenda wapi, hivi kwamba hatutampata? Je, anakusudia kwenda kwa Wayahudi waliotawanyika kati ya Wagiriki ili awafundishe Wagiriki?
-
-
Yohana 7:35Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
35 Kwa hiyo Wayahudi wakasema miongoni mwao wenyewe: “Ni wapi mwanamume huyu akusudia kwenda, hivi kwamba hatutampata? Yeye hakusudii kwenda kwa Wayahudi waliotawanyika miongoni mwa Wagiriki na kufundisha Wagiriki, je, akusudia?
-