-
Yohana 7:35Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
35 Kwa hiyo Wayahudi wakasema miongoni mwao wenyewe: “Ni wapi mwanamume huyu akusudia kwenda, hivi kwamba hatutampata? Yeye hakusudii kwenda kwa Wayahudi waliotawanyika miongoni mwa Wagiriki na kufundisha Wagiriki, je, akusudia?
-