-
Yohana 13:26Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
26 Kwa hiyo Yesu akajibu: “Ni yule ambaye mimi nitampa tonge ambalo nachovya.” Na kwa hiyo, akiisha kuchovya tonge, akalichukua na kumpa Yudasi, mwana wa Simoni Iskariote.
-