-
Yohana 14:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 Yeye asiyenipenda hayashiki maneno yangu; na neno mnalolisikia si langu, bali ni la Baba aliyenituma.
-