-
Yohana 18:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Sasa wale watumwa na maofisa walikuwa wamesimama kuzunguka moto wa makaa waliokuwa wameuwasha, kwa sababu kulikuwa na baridi nao walikuwa wakiota moto. Petro pia alikuwa amesimama pamoja nao akiota moto.
-
-
Yohana 18:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Sasa wale watumwa na maofisa walikuwa wamesimama huku na huku, kwa kuwa walikuwa wamefanya moto wa makaa, kwa sababu kulikuwa na baridi, nao walikuwa wakijipasha moto. Petro pia alikuwa amesimama pamoja nao akijipasha mwenyewe moto.
-