-
Waebrania 12:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 Angalieni kwamba hamtoi udhuru kwake anayesema. Kwa maana ikiwa hawakuponyoka waliotoa udhuru kwake aliyekuwa akitoa onyo la kimungu juu ya dunia, ni zaidi sana sisi hatutaponyoka tukigeukia mbali kutoka kwa yeye asemaye kutoka kwenye mbingu.
-