-
1 Petro 4:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Ikiwa yeyote asema, acheni aseme kama kwamba ni matamko matakatifu ya Mungu; ikiwa yeyote ahudumu, acheni ahudumu kama ategemeaye nguvu ambazo Mungu hutoa; ili katika mambo yote Mungu apate kutukuzwa kupitia Yesu Kristo. Utukufu na uweza ni wake milele na milele. Ameni.
-