-
Ufunuo 15:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Na patakatifu pakawa penye kujawa na moshi kwa sababu ya utukufu wa Mungu na kwa sababu ya nguvu yake, na hakuna yeyote aliyeweza kuingia katika patakatifu mpaka tauni saba za hao malaika saba zilipomalizika.
-