-
Yohana 3:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Nikodemo akamwambia: “Mtu anawezaje kuzaliwa akiwa mzee? Je, anaweza kuingia katika tumbo la uzazi la mama yake mara ya pili na kuzaliwa?”
-
-
Yohana 3:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Nikodemo akamwambia: “Mtu awezaje kuzaliwa wakati yeye ni mzee? Hawezi kuingia katika tumbo la uzazi la mama yake mara ya pili na kuzaliwa, je, aweza?”
-