-
Matendo 25:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
23 Kwa hiyo, siku iliyofuata, Agripa na Bernike wakaja kwa wonyesho mwingi wenye fahari za madaha na kuingia ndani ya chumba cha baraza pamoja na makamanda wa kijeshi na vilevile wanaume waheshimiwa katika jiji, na Festo alipotoa amri, Paulo akaletwa ndani.
-