DARUBINI
(Ona pia Nyota, Elimu ya)
darubini inayozunguka angani na inayotumia urujuanimno (Space Infrared Telescope Facility): g96 3/8 14
darubini kubwa kuliko zote: g96 3/8 12
Darubini ya Angani ya Hubble: g 2/12 16-17; g96 3/8 14
bluu nyangavu yenye kubadilika-badilika katika kundi la nyota ya Kilimia: g98 7/22 29
eneo “tupu” angani: g98 1/8 27
idadi ya makundi ya nyota (galaksi): g96 7/8 28
miezi ya Zohali: g96 1/8 28
muda ambao ulimwengu umekuwapo: g96 1/22 4-5
Nguzo ya Gesi na Mavumbi ya Kaa (Crab Nebula): g96 1/22 8
Nguzo ya Gesi na Mavumbi ya Orioni (Orion Nebula): g96 1/22 6-7
nyota yazaliwa katika wingu la gesi na mavumbi la Eagle (Eagle Nebula): g97 3/8 14
orodha ya nyota: g00 1/22 27
darubini za mawimbi ya redio: g96 3/8 12, 15
Kituo cha Australia cha Kuchunguzia Anga: g03 6/8 15-17
zinazozunguka dunia: g97 9/8 28
Mauna Kea, Hawaii: g96 3/8 12
darubini ya Gemini Kaskazini: g00 1/22 29
darubini ya Subaru (ya urujuanimno [infrared] yenye lenzi): g96 3/8 12, 15
darubini za Keck: g 2/12 16-17; g96 3/8 12
Mlima Wilson, California: g99 6/22 3-4