UNUNUZI
(Ona pia Kuiba Dukani; Maduka Makubwa)
jinsi ya kuchagua kati ya vitu vingi: g05 11/22 31
jinsi ya kufanya hesabu ili kujua kadiri ambavyo bei imepunguzwa: g03 5/22 21-22
kununua saa za mkononi: g05 5/22 24
kununua viatu: g03 3/8 19-21; g03 11/8 30; g99 8/8 29; g97 10/8 27
kupanga foleni:
kinachofanya foleni uliyochagua ionekane kusonga polepole kuliko zile nyingine: g98 10/8 28
kutumia busara wakati wa kununua vitu: g 7/10 7
kwa ajili ya chakula: g 6/12 4
mahubiri yasiyo rasmi: km 9/96 6
majengo yenye maduka mengi: g02 5/8 10-11
kuhubiri madukani: w08 9/15 25-26; km 9/96 5
masoko ya Afrika: g 1/10 23-24
matatizo yanayosababishwa na kupata mkopo rahisi: g01 12/22 29
uvutano wa muziki: g98 12/8 29
zoea sugu (uraibu): g99 1/22 29; g97 3/8 28