-
Yobu 1:3Biblia—Tafsiri ya Ulimwengu Mupya
-
-
3 Mifugo yake ilikuwa kondoo elfu saba (7 000), ngamia elfu tatu (3 000), ngombe elfu moja (1 000), punda mia tano (500), na alikuwa na watumishi wengi sana, kwa hiyo akakuwa mukubwa kuliko watu wote wa Mashariki.
-