MAMBO YA WALAWI
HABARI ZENYE KUWA NDANI
-
Toleo la kuteketezwa (1-17)
-
Toleo la nafaka (1-16)
-
Toleo la zambi (1-35)
-
Haruni na wana wake wanawekwa katika madaraka ya ukuhani (1-36)
-
Haruni anatoa matoleo ya kuweka makuhani katika madaraka ya ukuhani (1-24)
-
Wanyama safi na wanyama wenye hawako safi (1-47)
-
Utakaso wa mwanamuke kisha kuzaa mutoto (1-8)
-
Mutiririko wenye hauko safi wenye unatoka katika viungo vya uzazi (1-33)
-
Siku ya Kufunika Zambi (1-34)
-
Sheria mbalimbali kuhusu utakatifu (1-37)
Namna ya muzuri ya kuvuna (9, 10)
Kuheshimia viziwi na vipofu (14)
Maneno ya kuchongea (16)
Usiweke kinyongo (18)
Kufanya uchawi na kupashana habari na pepo wachafu kunakatazwa (26, 31)
Kujitia alama za machanjo kunakatazwa (28)
Kuheshimia watu wenye kuzeeka (32)
Namna wageni wanapaswa kutendewa (33, 34)