Biblia—Tafsiri ya Ulimwengu Mupya Habari Zenye Kuwa Katika Wagalatia WAGALATIA HABARI ZENYE KUWA NDANI 1 Salamu (1-5) Hakuna habari njema ingine (6-9) Habari njema yenye Paulo alihubiri inatoka kwa Mungu (10-12) Kugeuzwa kwa Paulo na kazi yake ya pale mwanzo (13-24) 2 Paulo anakutana na mitume Yerusalemu (1-10) Paulo anamurekebisha Petro (Kefa) (11-14) Kutangazwa kuwa wenye haki kupitia tu imani (15-21) 3 Tofauti kati ya matendo ya Sheria na imani (1-14) Mwenye haki ataishi kwa imani (11) Ahadi kwa Abrahamu haikukuwa kupitia Sheria (15-18) Kristo, uzao wa Abrahamu (16) Chanzo na kusudi la Sheria (19-25) Wana wa Mungu kupitia imani (26-29) Wazao wa Abrahamu, wale wenye kuwa wa Kristo (29) 4 Hatuko watumwa tena, lakini tuko wana (1-7) Hangaiko la Paulo juu ya Wagalatia (8-20) Hagari na Sara: maagano mbili (21-31) Yerusalemu la juu, mama yetu, liko huru (26) 5 Uhuru wa Kikristo (1-15) Kutembea kwa roho (16-26) Matendo ya mwili (19-21) Tunda la roho (22, 23) 6 Mubebeane mizigo mizito (1-10) Kuvuna kile chenye kilipandwa (7, 8) Kutahiriwa hakuna maana (11-16) Kiumbe kipya (15) Maneno ya kumalizia (17, 18)