- Habari za Kufanana na Zile
MWANZO
HABARI ZENYE KUWA NDANI
1
2
Mungu anapumuzika siku ya saba (1-3)
Yehova Mungu, Mutengenezaji wa mbingu na dunia (4)
Mwanaume na mwanamuke katika bustani ya Edeni (5-25)
Mutu anaumbwa kwa mavumbi (7)
Muti wa ujuzi wenye ulikatazwa (15-17)
Kuumbwa kwa mwanamuke (18-25)
3
4
5
6
Wana wa Mungu wanajichukulia wanamuke katika dunia (1-3)
Wanefili wanazaliwa (4)
Uovu wa wanadamu unamuhuzunisha Yehova (5-8)
Noa anapewa kazi ya kujenga safina (9-16)
Mungu anatangaza kuja kwa Garika (17-22)
7
8
Maji ya Garika yanapunguka (1-14)
Kutoka ndani ya safina (15-19)
Ahadi ya Mungu juu ya dunia (20-22)
9
Maagizo kwa wanadamu wote (1-7)
Agano la upinde wa mvua (8-17)
Unabii juu ya wazao wa Noa (18-29)
10
11
12
13
Abramu anarudia Kanaani (1-4)
Abramu na Loti wanatengana (5-13)
Mungu anarudilia ahadi yenye alimupatia Abramu (14-18)
14
15
16
17
Abrahamu atakuwa baba ya mataifa mengi (1-8)
Agano la kutahiriwa (9-14)
Sarai anapewa jina Sara (15-17)
Mutoto mwanaume Isaka anaahidiwa (18-27)
18
Malaika watatu wanamutembelea Abrahamu (1-8)
Sara anaahidiwa kuzaa mutoto mwanaume; Sara anacheka (9-15)
Abrahamu anamulilia Mungu asiharibu Sodoma (16-33)
19
Loti anatembelewa na malaika (1-11)
Loti na familia yake wanaambiwa waondoke (12-22)
Miji ya Sodoma na Gomora inaharibiwa (23-29)
Loti na mabinti wake (30-38)
20
21
Isaka anazaliwa (1-7)
Ishmaeli anamuchekelea Isaka (8, 9)
Hagari na Ishmaeli wanafukuzwa (10-21)
Agano kati ya Abrahamu na Abimeleki (22-34)
22
23
24
25
Abrahamu anaoa tena (1-6)
Kifo cha Abrahamu (7-11)
Wana wa Ishmaeli (12-18)
Yakobo na Esau wanazaliwa (19-26)
Esau anauzisha haki yake ya muzaliwa wa kwanza (27-34)
26
Isaka na Rebeka katika muji wa Gerari (1-11)
Kugombania visima (12-25)
Agano kati ya Isaka na Abimeleki (26-33)
Bibi wawili Wahiti wa Esau (34, 35)
27
Yakobo anabarikiwa na Isaka (1-29)
Esau anatafuta baraka lakini anakosa kutubu (30-40)
Esau anamuchukia Yakobo (41-46)
28
29
Yakobo anakutana na Raheli (1-14)
Yakobo anamupenda sana Raheli (15-20)
Yakobo anaoa Lea na Raheli (21-29)
Wana ine wa Yakobo wenye walizaliwa na Lea: Rubeni, Simeoni, Lawi, na Yuda (30-35)
30
Bilha anazaa Dani na Naftali (1-8)
Zilpa anazaa Gadi na Asheri (9-13)
Lea anazaa Isakari na Zabuloni (14-21)
Raheli anamuzaa Yosefu (22-24)
Makundi ya Yakobo yanaongezeka (25-43)
31
Yakobo anaenda Kanaani kwa uficho (1-18)
Labani anamufuatilia na kumufikia Yakobo (19-35)
Agano kati ya Yakobo na Labani (36-55)
32
Malaika wanakutana na Yakobo (1, 2)
Yakobo anajitayarisha kukutana na Esau (3-23)
Yakobo anapigana mieleka na malaika (24-32)
33
34
35
Yakobo anaondoa miungu ya kigeni (1-4)
Yakobo anarudia Beteli (5-15)
Benyamini anazaliwa; Raheli anakufa (16-20)
Wana kumi na mbili wa Israeli (21-26)
Kifo cha Isaka (27-29)
36
37
38
39
Yosefu katika nyumba ya Potifa (1-6)
Yosefu anakataa kulala na bibi ya Potifa (7-20)
Yosefu katika gereza (21-23)
40
41
Yosefu anafasiria maana ya ndoto za Farao (1-36)
Yosefu anainuliwa na Farao (37-46a)
Yosefu anasimamia chakula (46b-57)
42
Ndugu za Yosefu wanaenda Misri (1-4)
Yosefu anakutana na ndugu zake na anawajaribu (5-25)
Ndugu zake wanarudia nyumbani kwa Yakobo (26-38)
43
Ndugu za Yosefu wanarudia Misri mara ya pili; pamoja na Benyamini (1-14)
Yosefu anakutana tena na ndugu zake (15-23)
Yosefu anafanya karamu pamoja na ndugu zake (24-34)
44
45
46
Yakobo na watu wa nyumba yake wanahamia Misri (1-7)
Majina ya wenye walihamia Misri (8-27)
Yosefu na Yakobo wanakutana Gosheni (28-34)
47
Yakobo anakutana na Farao (1-12)
Usimamizi wenye hekima wa Yosefu (13-26)
Israeli anafanya makao yake kule Gosheni (27-31)
48
49
50
Yosefu anamuzika Yakobo katika inchi ya Kanaani (1-14)
Yosefu anahakikishia ndugu zake kwamba amewasamehe (15-21)
Siku za mwisho za Yosefu na kifo chake (22-26)