WIMBO 34
Nitatembea kwa Uaminifu-Mushikamanifu
Maandishi
	- 1. Tafazali, Yah, unihukumu; - Na uone kama niko mwaminifu. - Nichunguze na unijaribu; - Nisafishe moyo na unibariki. - (REFREE) - Sitaacha hata kutembea kwa - uaminifu-mushikamanifu. 
- 2. Na sifanye hata urafiki na - wadanganyifu, na watu wabaya. - Tafazali, usiniharibu pamoja - na wenye kupenda jeuri. - (REFREE) - Sitaacha hata kutembea kwa - uaminifu-mushikamanifu. 
- 3. Ninapenda sana nyumba yako. - Nitakuabudu na nitakusifu. - Nizunguke mazabahu yako, - Wote wasikie ninakushukuru. - (REFREE) - Sitaacha hata kutembea kwa - uaminifu-mushikamanifu. 
(Ona pia Zb. 25:2.)