-
Mwanzo 41:30Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
30 Lakini baada ya miaka hiyo, hakika kutakuwa na miaka saba ya njaa kali, nanyi hakika mtasahau chakula kingi sana kilichokuwa katika nchi ya Misri, na njaa hiyo kali itaiharibu nchi.+
-
-
Mwanzo 47:18Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
18 Mwaka huo ulipokwisha, walianza kumjia mwaka uliofuata wakisema: “Hatutakuficha bwana wetu kwamba tumekupa pesa zetu zote na mifugo yetu yote. Hatuna chochote kilichobaki cha kukupa bwana wetu isipokuwa miili yetu na ardhi yetu.
-