-
Mwanzo 47:6Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
6 Nchi ya Misri iko mbele yako. Wape baba yako na ndugu zako sehemu bora kabisa ya nchi+ ili waishi humo. Waache waishi katika nchi ya Gosheni, na ikiwa unajua wanaume wowote wenye ustadi miongoni mwao, waweke wasimamie mifugo yangu.”
-