-
Mwanzo 45:27Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
27 Walipoendelea kumwambia mambo yote ambayo Yosefu aliwaambia na alipoona magari ya kukokotwa ambayo Yosefu aliwapa ili yambebe, roho ya Yakobo baba yao ikaanza kuhuika.
-
-
Mwanzo 46:5Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
5 Kisha Yakobo akaondoka Beer-sheba, na wanawe* wakamsafirisha Yakobo baba yao na watoto wao na wake zao katika magari ya kukokotwa ambayo Farao alikuwa amewapa ili yamsafirishe.
-