-
Mwanzo 43:34Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
34 Yosefu alikuwa akiagiza chakula kichukuliwe kutoka kwenye meza yake na kupelekwa kwenye meza yao, lakini aliongeza chakula cha Benjamini mara tano zaidi ya chakula ambacho wengine wote walipewa.+ Basi wakaendelea kula na kunywa pamoja naye mpaka waliposhiba.
-