-
Hesabu 26:42Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
42 Hawa ndio waliokuwa wana wa Dani+ kulingana na koo zao: kutoka kwa Shuhamu, ukoo wa Washuhamu. Hizo ndizo zilizokuwa koo za Dani kulingana na wazao wao.
-