Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 46:4
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 4 Mimi mwenyewe nitashuka pamoja nawe Misri, na pia mimi mwenyewe nitakurudisha kutoka huko,+ na Yosefu atayafumba macho yako kwa mkono wake.”*+

  • Mwanzo 47:29
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 29 Wakati wa Israeli kufa ulikuwa ukikaribia,+ kwa hiyo akamwita Yosefu mwanawe na kumwambia: “Ikiwa sasa nimepata kibali machoni pako, tafadhali, weka mkono wako chini ya paja langu, na unitendee kwa upendo mshikamanifu na uaminifu. Tafadhali, usinizike Misri.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki