-
Mwanzo 3:24Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
24 Basi akamfukuza mtu huyo, akaweka upande wa mashariki wa bustani ya Edeni makerubi+ na upanga unaowaka uliokuwa ukizunguka mfululizo ili kuilinda njia ya kwenda kwenye mti wa uzima.
-