Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 24:12, 13
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 12 Sasa Yehova akamwambia Musa: “Panda uje kwangu mlimani na ukae huku. Nitakupa mabamba ya mawe yenye sheria na amri nitakazoandika ili kuwafundisha watu.”+ 13 Basi Musa akaondoka pamoja na Yoshua mhudumu wake,+ naye Musa akapanda kwenye mlima wa Mungu wa kweli.+

  • 1 Wafalme 19:8, 9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 8 Basi akaamka, akala na kunywa, na kwa nguvu za chakula hicho akasafiri kwa siku 40, mchana na usiku, mpaka alipofika Horebu, mlima wa Mungu wa kweli.+

      9 Huko akaingia pangoni+ na kulala humo usiku; na tazama! neno la Yehova likamjia na kumuuliza: “Unafanya nini hapa, Eliya?”

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki