Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 13:26, 27
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 26 Walirudi kwa Musa, Haruni, na Waisraeli wote katika nyika ya Parani, huko Kadeshi.+ Wakawaletea habari Waisraeli wote na kuwaonyesha matunda ya nchi hiyo. 27 Hivi ndivyo walivyomwambia Musa: “Tuliingia katika nchi uliyotutuma, na kwa kweli inatiririka maziwa na asali,+ na haya ndiyo matunda yake.+

  • Kumbukumbu la Torati 27:3
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 3 Kisha mwandike juu yake maneno yote ya Sheria hii mtakapokuwa mmevuka, ili muweze kuingia katika nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa, nchi inayotiririka maziwa na asali, kama Yehova Mungu wa mababu zenu alivyowaahidi.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki