Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 15:13, 14
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 13 Kisha Mungu akamwambia Abramu: “Ujue kwa hakika kwamba wazao* wako watakuwa wageni katika nchi ambayo si yao na kwamba watu wa nchi hiyo watawafanya kuwa watumwa na kuwatesa kwa miaka 400.+ 14 Lakini mimi nitalihukumu taifa watakalolitumikia,+ na baada ya hapo watatoka huko na mali nyingi.+

  • Mambo ya Walawi 26:13
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 13 Mimi ni Yehova Mungu wenu, niliyewatoa katika nchi ya Misri ili msiendelee kuwa watumwa wao, nami nikavunja nira yenu na kuwafanya mtembee vichwa vyenu vikiwa vimeinuliwa.*

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki