Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 30:25
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 25 Kisha utumie manukato hayo kutengeneza mafuta matakatifu ya kutia mafuta; manukato hayo yanapaswa kuchanganywa pamoja kwa ustadi.*+ Yatakuwa mafuta matakatifu ya kutia mafuta.

  • Kutoka 30:35
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 35 Yatumie kutengeneza uvumba;+ viungo hivyo vinapaswa kuchanganywa kwa ustadi,* vitiwe chumvi,+ viwe safi, na vitakatifu.

  • Kutoka 37:29
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 29 Alitengeneza pia mafuta matakatifu ya kutia mafuta+ na uvumba safi uliotiwa manukato+ na kuchanganywa kwa ustadi.*

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki