-
Mambo ya Walawi 5:2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 “‘Au mtu akigusa kitu chochote kisicho safi, iwe ni mzoga wa mnyama wa mwituni, mzoga wa mnyama wa kufugwa, au viumbe wanaoishi katika makundi makubwa,+ hatakuwa safi na atakuwa na hatia hata kama hajui jambo hilo.
-