Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 2:2
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 2 Kisha atalipeleka kwa wana wa Haruni, makuhani, naye kuhani atachukua mkono mmoja wa unga huo laini, mafuta, pamoja na ubani wake wote, naye atauteketeza ili ufuke moshi ikiwa dhabihu ya kumbukumbu*+ juu ya madhabahu. Ni dhabihu inayochomwa kwa moto yenye harufu inayompendeza* Yehova.

  • Mambo ya Walawi 2:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 9 Naye kuhani atachukua sehemu ya toleo hilo la nafaka ikiwa dhabihu ya kumbukumbu*+ na kuiteketeza juu ya madhabahu ili ifuke moshi. Ni dhabihu inayochomwa kwa moto yenye harufu inayompendeza* Yehova.+

  • Mambo ya Walawi 5:11, 12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki