Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 29:22-25
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 22 “Halafu chukua mafuta ya huyo kondoo dume, mkia wake mnono, mafuta yanayofunika matumbo, mafuta yaliyo juu ya ini, figo zake mbili na mafuta yaliyo juu yake,+ na mguu wa kulia, kwa maana huyo ni kondoo dume wa kumweka rasmi kuhani.+ 23 Chukua pia mkate wa mviringo na mkate wa mviringo uliokandwa kwa mafuta na mkate mwembamba kutoka katika kile kikapu cha mikate isiyo na chachu kilicho mbele za Yehova. 24 Ni lazima uviweke vitu hivyo vyote mikononi mwa Haruni na mikononi mwa wanawe, nawe utavitikisa kwenda mbele na nyuma vikiwa toleo la kutikiswa mbele za Yehova. 25 Kisha utavichukua vitu hivyo kutoka mikononi mwao na kuviteketeza juu ya madhabahu, juu ya dhabihu ya kuteketezwa, ili viwe harufu inayompendeza* Yehova. Ni dhabihu kwa Yehova inayochomwa kwa moto.

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki