-
Mambo ya Walawi 6:28Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
28 Chombo cha udongo kilichotumiwa kuchemshia nyama hiyo kitavunjwavunjwa. Lakini ikiwa ilichemshiwa katika chombo cha shaba, basi lazima chombo hicho kisuguliwe na kusafishwa kwa maji.
-