Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 6:21
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 21 Ndipo malaika wa Yehova akanyoosha fimbo iliyokuwa mkononi mwake na kwa ncha yake akaigusa ile nyama na ile mikate isiyo na chachu, na moto ukatoka kwenye lile jiwe na kuiteketeza ile nyama na ile mikate isiyo na chachu.+ Kisha malaika wa Yehova akatoweka.

  • 1 Mambo ya Nyakati 21:26
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 26 Kisha Daudi akamjengea Yehova madhabahu+ mahali hapo na kutoa dhabihu za kuteketezwa na dhabihu za ushirika, akasali kwa Yehova, ambaye sasa alimjibu kwa kushusha moto+ kutoka mbinguni kwenye madhabahu hiyo ya dhabihu za kuteketezwa.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki