-
Kutoka 30:20Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
20 Wanapoingia kwenye hema la mkutano au wanapoenda kwenye madhabahu kuhudumu na kumtolea Yehova dhabihu za kuteketezwa na zinazofuka moshi, watanawa kwa maji ili wasife.
-