-
Mambo ya Walawi 18:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 “‘Usifanye ngono na dada yako, awe ni binti ya baba yako au binti ya mama yako, awe amezaliwa katika nyumba ileile au amezaliwa nje.+
-
-
Kumbukumbu la Torati 27:22Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
22 “‘Amelaaniwa mtu anayefanya ngono na dada yake, binti ya baba yake au binti ya mama yake.’+ (Na watu wote watasema, ‘Amina!’)
-