-
Mambo ya Walawi 8:14Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
14 Kisha akamleta ng’ombe dume wa dhabihu ya dhambi, Haruni na wanawe wakaweka mikono yao juu ya kichwa cha ng’ombe dume huyo wa dhabihu ya dhambi.+
-
-
Mambo ya Walawi 8:17Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
17 Kisha akachukua sehemu zilizobaki za ng’ombe dume huyo, ngozi yake, nyama yake, na mavi yake, akateketeza sehemu hizo nje ya kambi,+ kama Yehova alivyomwamuru Musa.
-
-
Waebrania 13:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Kwa maana miili ya wanyama ambao kuhani mkuu hupeleka damu yao ndani ya mahali patakatifu kama toleo la dhambi huteketezwa nje ya kambi.+
-