-
Kumbukumbu la Torati 22:6Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
6 “Ukipata njiani kiota cha ndege chenye makinda au mayai, iwe mtini au kwenye ardhi, naye mama amefunika makinda au kuatamia mayai, usimchukue mama pamoja na makinda yake.+
-