-
Kutoka 22:1Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
22 “Mtu akiiba ng’ombe dume au kondoo na kumchinja au kumuuza, atalipa ng’ombe dume watano kwa ajili ya ng’ombe dume huyo na kondoo wanne kwa ajili ya kondoo huyo.+
-