Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 4:25
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 25 Kuhani atachukua kwa kidole chake kiasi kidogo cha damu ya dhabihu ya dhambi na kuitia kwenye pembe+ za madhabahu ya dhabihu za kuteketezwa, naye atamwaga damu inayobaki kwenye msingi wa madhabahu ya dhabihu za kuteketezwa.+

  • Mambo ya Walawi 8:15
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 15 Musa akamchinja, akachukua damu yake+ kwa kidole chake na kuzipaka pembe zote za madhabahu, akaitakasa madhabahu kutokana na dhambi, lakini damu iliyobaki aliimwaga kwenye msingi wa madhabahu, ili aitakase na kutoa juu yake dhabihu ya kufunika dhambi.

  • Mambo ya Walawi 9:8, 9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 8 Haruni akaenda mara moja kwenye madhabahu na kumchinja yule ndama wa dhabihu ya dhambi kwa ajili yake mwenyewe.+ 9 Kisha wanawe wakamletea damu,+ naye akachovya kidole chake katika damu hiyo na kupaka pembe za madhabahu, na damu iliyobaki akaimwaga kwenye msingi wa madhabahu.+

  • Waebrania 9:22
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki