-
Mambo ya Walawi 25:26, 27Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
26 Ikiwa mtu hana mkombozi lakini anapata ufanisi na kupata uwezo wa kuikomboa, 27 anapaswa kuhesabu thamani yake kulingana na miaka iliyopita tangu alipoiuza na kumrudishia yule aliyeinunua kiasi kinachobaki. Kisha atarudi kwenye urithi wake.+
-