Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 15:28
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 28 Kisha kuhani atatoa dhabihu ili mtu aliyetenda dhambi mbele za Yehova bila kukusudia asamehewe dhambi yake, yaani, atamtolea dhabihu ya kufunika dhambi yake, na mtu huyo atasamehewa.+

  • 1 Yohana 1:7
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 7 Hata hivyo, ikiwa tunatembea katika nuru kama yeye mwenyewe alivyo katika nuru, tuna ushirika sisi kwa sisi, na damu ya Yesu Mwana wake hutusafisha kutoka katika dhambi yote.+

  • 1 Yohana 2:1, 2
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki