Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 12:7
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 7 Kisha Yehova akamtokea Abramu na kumwambia: “Nitaupa uzao wako*+ nchi hii.”+ Basi akamjengea Yehova madhabahu huko, aliyekuwa amemtokea.

  • Kumbukumbu la Torati 4:31
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 31 Kwa maana Yehova Mungu wenu ni Mungu mwenye rehema.+ Hatawaacha wala kuwaangamiza wala kusahau agano alilowaapia mababu zenu.+

  • Zaburi 106:45
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 45 Na kwa ajili yao alikuwa akikumbuka agano lake,

      Naye alikuwa akiwahurumia,* akichochewa na upendo wake mwingi* mshikamanifu.+

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki