-
Yoshua 14:14Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
14 Ndiyo sababu Hebroni limekuwa urithi wa Kalebu mwana wa Yefune Mkenizi mpaka leo, kwa sababu alimfuata Yehova Mungu wa Israeli kwa moyo wote.+
-
-
Yoshua 19:49Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
49 Basi wakamaliza kugawanya nchi ya urithi kulingana na maeneo yake. Kisha Waisraeli wakampa Yoshua mwana wa Nuni urithi kati yao.
-