-
Hesabu 20:28Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
28 Kisha Musa akamvua Haruni mavazi yake na kumvisha Eleazari mwanawe. Baada ya hayo, Haruni akafa juu ya mlima huo.+ Kisha Musa na Eleazari wakateremka kutoka mlimani.
-
-
Hesabu 33:38Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
38 Kisha kuhani Haruni akapanda juu ya Mlima Hori kwa agizo la Yehova, akafa huko siku ya kwanza ya mwezi wa tano, mwaka wa 40 tangu Waisraeli walipotoka nchini Misri.+
-