-
Hesabu 20:10Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
10 Basi Musa na Haruni wakawakusanya watu wote mbele ya mwamba huo, akawaambia, “Sikilizeni sasa, enyi waasi! Je, ni lazima tuwatolee maji katika mwamba huu?”+
-
-
Hesabu 20:12Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
12 Baadaye Yehova akamwambia hivi Musa na Haruni: “Kwa sababu hamkuonyesha kwamba mna imani kwangu na kunitakasa mbele ya Waisraeli, hamtawaingiza watu hawa katika nchi ambayo nitawapa.”+
-
-
Kumbukumbu la Torati 1:37Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
37 (Yehova alinikasirikia mimi pia kwa sababu yenu, akasema, “Wewe pia hutaingia humo.+
-