Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 28:30
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 30 Utaweka Urimu na Thumimu*+ ndani ya kifuko cha kifuani cha maamuzi, nazo zitakuwa juu ya moyo wa Haruni anapoingia mbele za Yehova, naye Haruni atabeba daima juu ya moyo wake vitu hivyo vya kufanyia maamuzi kwa ajili ya Waisraeli mbele za Yehova.

  • 1 Samweli 23:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 9 Daudi alipopata habari kwamba Sauli alikuwa akipanga njama dhidi yake, akamwambia kuhani Abiathari: “Ilete efodi hapa.”+

  • 1 Samweli 28:6
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 6 Ingawa Sauli alikuwa akimwomba Yehova ushauri,+ Yehova hakumjibu kamwe, iwe ni katika ndoto au kwa Urimu+ au kupitia manabii.

  • Nehemia 7:65
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 65 Gavana*+ akawaambia kwamba hawapaswi kula vitu vitakatifu kabisa+ mpaka apatikane kuhani ambaye angechunguza Urimu na Thumimu.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki