-
Kutoka 16:1Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
16 Baada ya kutoka Elimu, hatimaye kusanyiko lote la Waisraeli likafika katika nyika ya Sini,+ kati ya Elimu na Sinai, siku ya 15 ya mwezi wa pili baada ya kutoka katika nchi ya Misri.
-